BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Kwanza ningependa kusema kuwa wengi tunafanya biashara huku tukisahau kuwa biashara co bidhaa....bali ni mfanyabiashara anayeisimamia
Nitashare experience kidogo ili tujifunze something(ukitaka kufankiwa au biashara yako ikue jitahidi ufikirie nje ya mazingira ulipo)
Ninapofanyia biashara kuna wapinzani wawili....hawa wapinzani katika bidhaa zao walibase kwenye vitu vlvyozoeleka kuuzika kwenye maduka mengne...(wao wanachoamini binadam anahtaji kunywa na kula tuu)
So mimi nilichofanya ni kupanua upatikanaji wa bidhaa...!!kwakuwa bidhaa nyingi hazikuwa znapatikana kwa maduka ya jumla maeneo hayo ilinibidi kwenda mjini...!!
Nikaweka bidhaa za nyongeza zaidi kama lotion....glycerine....mafuta ya nazi...brash za viatu....mafuta aina mbali mbali hasa ya kunukia...sabuni aina mbali mbali....shavers...dodokiza kuogea....shampoos...!!taa za majumban(kiufupi niliweka bidhaa zile ambazo wateja walitembea umbali mrefu kuzipata....)
Hii ilinitengenezea imani kwa wateja...!!maana nlkuwa na vitu vingi kias kwamba waliamini hawatakosa kitu....!!
Mpaka sasa wapinzani wamekaa chini...!!wao ndo wamekuwa waelekezaji wa wateha endapo wakikosa kitu wanamleta kwangu
Siri ya kufanikiwa sehem yenye upinzani ni kuchunguza mapungufu ya mpinzan na kuyatumia vzuri mapungufu haayo
Sent using Jamii Forums mobile app