Biashara kukua inabidi mfanyabiashara ufikirie nje ya box

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Kwanza ningependa kusema kuwa wengi tunafanya biashara huku tukisahau kuwa biashara co bidhaa....bali ni mfanyabiashara anayeisimamia

Nitashare experience kidogo ili tujifunze something(ukitaka kufankiwa au biashara yako ikue jitahidi ufikirie nje ya mazingira ulipo)

Ninapofanyia biashara kuna wapinzani wawili....hawa wapinzani katika bidhaa zao walibase kwenye vitu vlvyozoeleka kuuzika kwenye maduka mengne...(wao wanachoamini binadam anahtaji kunywa na kula tuu)

So mimi nilichofanya ni kupanua upatikanaji wa bidhaa...!!kwakuwa bidhaa nyingi hazikuwa znapatikana kwa maduka ya jumla maeneo hayo ilinibidi kwenda mjini...!!

Nikaweka bidhaa za nyongeza zaidi kama lotion....glycerine....mafuta ya nazi...brash za viatu....mafuta aina mbali mbali hasa ya kunukia...sabuni aina mbali mbali....shavers...dodokiza kuogea....shampoos...!!taa za majumban(kiufupi niliweka bidhaa zile ambazo wateja walitembea umbali mrefu kuzipata....)

Hii ilinitengenezea imani kwa wateja...!!maana nlkuwa na vitu vingi kias kwamba waliamini hawatakosa kitu....!!

Mpaka sasa wapinzani wamekaa chini...!!wao ndo wamekuwa waelekezaji wa wateha endapo wakikosa kitu wanamleta kwangu

Siri ya kufanikiwa sehem yenye upinzani ni kuchunguza mapungufu ya mpinzan na kuyatumia vzuri mapungufu haayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema wataalam wa mambo kuwa The more u chase money, the harder to get money..The more you find the solutions to solve money comes after you!
Uko sahihi kabisa!
 
kama anakuuwa kwenye bei utafanyaje ?

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
kama anakuuwa kwenye bei utafanyaje mfano hiyo bidhaa we ukiuza elfu 3500 una pata 800 ye anauza 3000 na ukiuza kama yeye unapata 500...

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
Nawe shusha....just kkubwa ukishashusha weka na good customer care...!!ni duka la rejareja??

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ila me nmeanza kitambo na nna jina ya kaanza karibuni ila vitu anashusha bei sana cjui anajitangaza ama vp ? kuna vitu ukisema uuze km yeye unapa 150 halaf hakina mzunguko ndo anaponchosha..

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
Kuna andiko liliandika hivi

“Duka la rejareja endapo mmiliki atamuweka msimamizi litakufa tu hata ufanyaje lakini ukitaka lisife inabidi ukae mwenyewe muda wa masaa 13+ kwa siku katika maisha yako yote duniani mpaka kufa kwako”

Nimemnukuu.

Portfolio | 2020
 
Kam wew umeanza mda mrefu...!!bas fanya kile unachoona ktakupa faida...!!watu kama hao wanaofanya punguzo la bei bila mahesabu hua hawafiki mbali
ndio ila me nmeanza kitambo na nna jina ya kaanza karibuni ila vitu anashusha bei sana cjui anajitangaza ama vp ? kuna vitu ukisema uuze km yeye unapa 150 halaf hakina mzunguko ndo anaponchosha..

Sent from my SM-G950U using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo staili ni za kizamani, siku iz kuna teknolojia za kusimamia duka hta km haupo....jiulize wamiliki wa supermarket kubwa km shoprite wanasimamia vipi biashara zao? ...mambo yote siku iz kwenye kompyuta, biashara za kufanya kijima zishapitwa na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…