TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 582
Great thinkers,
Habari za asubuhi.
Ninaomba kusaidiwa kuelimishwa namna biashara kwa njia ya mitandao inavyofanywa.
Nitafafanua ili nipate ushauri unaokidhi shauku yangu. Mfano nataka kutengeneza bidhaa aina ya taarifa (elimu, hotuba au vitu, nk). Lengo ni kutaka kila anayepitia na kusoma au kupakua taarifa hizo aweze kuchangia, yaani alipie anacho kisoma.
Maswali ninayojiuliza,
~ Ninatumia njia gani kufungua huo mtandao?
~ Ni kampuni gani/zipi naweza kuwasiliana nazo kwa kazi hiyo (youtube, Instagram, facebook, etc)?
~ Malipo yanakuwaje na nani atahusika kunipatia hayo malipo yanayotokana na watu wanao pakua bidhaa zangu?
~ Ni faida gani zingine zinaweza kupatikana kupitia hii namna ya biashara?
~ Gharama za kufanya biashara aina hii zikoje?
Tafadhali tupia chochote chenye kuweza kunielimisha hata kama sijakiweka kwenye swali. Mungu akubariki wewe utakaye changia kwa nia ya kusaidia.