Biashara: Kusafirisha kokoto na building materials nchi za jirani

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,689
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e. seychelles, mauritius, comoros na sehem zingine zenye uhaba wa miamba au uzalishaji wa kokoto mainly kwa ajili ya ujenzi.

In short ningependa kujua na kubadilishana mawazo imekaaje hyo ?? Kokoto zitakua zikitoka directly from plant nnje kidogo ya dar. Ma great thinker karibuni.

Thanks in advance.
 
Nahitaji mawazo ya wadau man. Watu wanapita kimya kimya tena. Daah

Nilipoiona post yako nimejitahidi kushirikisha watu lkn sikufanikiwa kupata chochote, nashauri watembelee ubaloz/wawakilishii wao hapa kwetu. Kinginge, kwa vile biashara hiyo inaonekana kubwa ni vema basi uende ukafanye kautafit flan hiv.
 
Kama sikosei kokoto zinaingia kwenye wizara ya madini, kumbuka inabidi utumie vyombo vya majini hivyo fanya research ni meli zipi za mizigo au majahazi yatabeba huo mzigo. Je soko umepata kule? Google upate watu ambao wako interested ili upate pa kuanzia. Kama mwingine alivyokushauri, nenda kwenye barozi zao upate ushauri. TRA nao Dah we kazana maana yawezekana ukiritimba ukawa ndo unazidi. Good luck!
 
Nilipoiona post yako nimejitahidi kushirikisha watu lkn sikufanikiwa kupata chochote, nashauri watembelee ubaloz/wawakilishii wao hapa kwetu. Kinginge, kwa vile biashara hiyo inaonekana kubwa ni vema basi uende ukafanye kautafit flan hiv.

Ahsante kwa ushauri Geof. Nilifatilia balozi za nchi husika seems comorro pekee ndio wana balozi...wengine diplomatic representatives ni wakutafuta. Kila balozi kuna sector ya international trade ndiko nafatilia kwa hawa comorro. Wizara husika ni muhimu pia. I do hope ntapata support ya kutosha.

niah kuhusu soko ni wazi litakuwepo as in roughly my analysis ni kwamba hivi vi nchi ni vidogo na sidhani wana miamba ya kutosha kama tulivyo sisi huku nd that most building materials wana import au kutegemea nchi za jirani. Its likely wana viwanda vichache.
 
Yaa senior boss, nimejarib ku-google Seychelles kutokana na udogo wa nchi zao hawa-entertain sana manufacturing industries hasa pollutant ones ili kulinda mazingira yao ambayo ndio source kubwa ya mapato yao kupitia utalii. So nashawishika kuamini kokpto inawezekana ikawa biashara nzr.
 
mbna hapa nchini soko lipo zuri tu??ushajaribu la hapa nchini au umeamua kuanzia moja kwa moja uko nje??
 
Hapa ndani tayari tunafanya (kuzalisha na kuuza) ndio tunajaribu tafuta na masoko ya nnje i.e. wholesale buyers.

Thanks.
 
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e. seychelles, mauritius, comoros na sehem zingine zenye uhaba wa miamba au uzalishaji wa kokoto mainly kwa ajili ya ujenzi.

In short ningependa kujua na kubadilishana mawazo imekaaje hyo ?? Kokoto zitakua zikitoka directly from plant nnje kidogo ya dar. Ma great thinker karibuni.

Thanks in advance.

inabidi upate database ya importers wa gravels kutoka nchi za comoros, seychelles, mauritius. nicheki ukiwa tayari. 0655308308
 
Back
Top Bottom