Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
damn... umweza mbali saana mkuu.. Good idea.
Nahitaji mawazo ya wadau man. Watu wanapita kimya kimya tena. Daah
Nilipoiona post yako nimejitahidi kushirikisha watu lkn sikufanikiwa kupata chochote, nashauri watembelee ubaloz/wawakilishii wao hapa kwetu. Kinginge, kwa vile biashara hiyo inaonekana kubwa ni vema basi uende ukafanye kautafit flan hiv.
Yaa senior boss, nimejarib ku-google Seychelles kutokana na udogo wa nchi zao hawa-entertain sana manufacturing industries hasa pollutant ones ili kulinda mazingira yao ambayo ndio source kubwa ya mapato yao kupitia utalii. So nashawishika kuamini kokpto inawezekana ikawa biashara nzr.Ahsante kwa ushauri Geof. Nilifatilia balozi za nchi husika seems comorro pekee ndio wana balozi...wengine diplomatic representatives ni wakutafuta. Kila balozi kuna sector ya international trade ndiko nafatilia kwa hawa comorro. Wizara husika ni muhimu pia. I do hope ntapata support ya kutosha.
niah kuhusu soko ni wazi litakuwepo as in roughly my analysis ni kwamba hivi vi nchi ni vidogo na sidhani wana miamba ya kutosha kama tulivyo sisi huku nd that most building materials wana import au kutegemea nchi za jirani. Its likely wana viwanda vichache.
mbna hapa nchini soko lipo zuri tu??ushajaribu la hapa nchini au umeamua kuanzia moja kwa moja uko nje??
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e. seychelles, mauritius, comoros na sehem zingine zenye uhaba wa miamba au uzalishaji wa kokoto mainly kwa ajili ya ujenzi.
In short ningependa kujua na kubadilishana mawazo imekaaje hyo ?? Kokoto zitakua zikitoka directly from plant nnje kidogo ya dar. Ma great thinker karibuni.
Thanks in advance.
This is what people call thinking outside the box...tuko busy na matukio tunasahau hayadamn... umweza mbali saana mkuu.. Good idea.