malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu nauliza biashara ipi ya kufuata China tofauti na nguo ambayo itauzikana mkoani..maana uku mkoani wigo wasoko nimdogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu nauliza biashara ipi ya kufuata China tofauti na nguo ambayo itauzikana mkoani..maana uku mkoani wigo wasoko nimdogo sana
Aisee umenipa wazo zuri sana maana nimeona hivo vitu vikiuzwa mtaa wa mchikichini kule kwa madon wakubwa ndio wanauza jumla kuleAgiza mazaga ...mahitaji ya kila siku
Dawa za meno vigor doctor..na...aloevera ...super black ...miswaki ya wakubwa na wadogo... dawa za mbu shenke (udi na kidonge) ...stick za meno... super glue (tembo)....viberiti vya gesi...nk
Ukiweza kuleta vikafika kwa bei nzuri zaidi ya iliyopo sokoni mkoani kwako ...utapiga hela .
Wanapiga hela sana maana yanatembea sana ...soko lake ni kubwa..Aisee umenipa wazo zuri sana maana nimeona hivo vitu vikiuzwa mtaa wa mchikichini kule kwa madon wakubwa ndio wanauza jumla kule
Sina nguvu kubwa sana...hivi inahitaji mtaji kiasi gani kuleta vitu kama hivoWanapiga hela sana maana yanatembea sana ...soko lake ni kubwa..
hope unajua chimbo yanapopatikana huko uchinani ... mostly yapo mji wa yuwi ...Yiwu wholesale market... district 4 ...kwenye daily necessities market.
Ila pia kama unanguvu kubwa unaweza kwenda viwandani moja kwa moja