S Shayla Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 193 Reaction score 129 Sep 22, 2014 #1 Wadau naomba msaada wenu, nataka kwenda China kwa ajili ya kununua vifaa vya umeme na nguo naomba mtu anisaidie anayejua maduka huko na hotel za kufikia na mazingira ya huko kwa ujumla.
Wadau naomba msaada wenu, nataka kwenda China kwa ajili ya kununua vifaa vya umeme na nguo naomba mtu anisaidie anayejua maduka huko na hotel za kufikia na mazingira ya huko kwa ujumla.
amatuks Member Joined Jul 17, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Sep 22, 2014 #2 Nami nasubiri huo ushauri pia.