Biashara la kujenga nyumba ya bei nzuri

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
36
Reaction score
5
Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
 
Hivi unaandikaje? Umetoka Koromije ndanindani? Karekebishe uandishi alafu uje tukusaidie
 
Wewe una skills gani?
Unatafuta skills gani?
Unataka technical personel, au financially sound partners?
Bei sawa ndio bei gani?

Hebu elezea vizuri, be precise and specific
Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…