Biashara Leo: Tumia kigezo hiki katika kupanga bei Ili uweze kufanikiwa

Biashara Leo: Tumia kigezo hiki katika kupanga bei Ili uweze kufanikiwa

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
Ni kigezo gani ambacho unatumia kupanga bei ya bidhaa au huduma zako?

Je, unaangalia watu wanaweza kumudu?

Je, unaangalia ni bei ipi itakuletea wateja wengi?
Je, unaangalia wengine wameweka bei gani?

Vigezo vyote hivyo unawez kuvitumia ila kuna kigezo kimoja muhimu sana ambacho wengi, hasa wafanyabiashara wadogo hawakitumii. Kigezo hiki kitakuwezesha kuweka bei ambayo itakuwa nzuri kwako na kwa wateja wako pia.
Kigezo hiki ni thamani unayotoa kupitia bidhaa au huduma yako.

Tumia kigezo cha thamani katika kuweka bei ya bidhaa au huduma zako. Angalia ni thamani kiasi gani ambayo mteja ataipata kwa kutumia bidhaa au huduma yako na iweke hiyo kama bei.


Kama tayari umeshachagua wateja wako, yaani unalijua soko lako vizuri hakuna bei utakayoweka na watu wakaishindwa. Kikubwa ni kujua watu wanaohitaji bidhaa au huduma zako, kuwatengenezea thamani watakayokuwa tayari kuilipia na kisha kuwapatia.


Soda ya kampuni moja, kwenye duka la kawaida inauzwa tsh 600/= lakini kwenye hoteli kubwa soda hiyo hiyo inauzwa tsh 3000/= na watu wananunua, bila ya kulalamika au kuomba wapunguziwe bei. Unajua ni kwa nini?
Ni kwa sababu mteja anayenunua soda kwenye hoteli kubwa anapata thamani kubwa kuliko anayenunua kwenye duka la kawaida. Watu wapo tayari kulipia thamani, kama kweli itawaridhisha.

Kazana kutengeneza thamani inayoendana na soko lako, halafu ipeleke sokoni.

Hadithi ya biashara yako pia inaweza kuongeza sana thamani ya biashara hiyo. Tengeneza hadithi nzuri ya biashara yako na watu watapenda kuwa sehemu ya hadithi hiyo.

Wajue wateja wako, watengenezee thamani, wapatie thamani.

Nakutakia kila la kheri kwenye biashara yako.


Kipengele hiki cha BIASHARA LEO kinakupa mbinu muhimu za kutatua changamoto za kibiashara zinazokuzuia kufikia mafanikio makubwa. Pia unajifunza kuepuka makosa unayofanya kwenye biashara yako na yanakuzuia kufanikiwa.

Kwa ushauri zaidi wa kibiashara, ikiwepo jinsi ya kupata wazo bora la biashara, jinsi ya kuanza na kukuza biashara na jinsi ya kupambana na changamoto za biashara piga simu 0717396253.
 
asante sana kaka, mada yako imekuja wakati muafaka. Be blecd
 
The normal essence in pricing nikujua Break even Poing. Kwa wale wazoefu wa kukokotoa itawawia rahisi sana. Break even ni pale gharama ya manunuzi inalingana na mauzo na formula yake ni BEP = Fixed Cost / (Price -variable cost)

Fixed cost ni gharama ambazo lazima uuze au usiuze lazima uzilipe na hazitegemee umeuza kiasi gani.Hizo ni kama kodi ya chumba unachofanyia biashara,umeme, mishahara wa wafanyakazi.

Na variable costs ni zile direct and indirecto cost (gharama ya kununua nguo (unit price) na kusaifirisha hizo zote ambazo ziko related na ukubwa wa mzigo
Nitawaletea badae jinsi ya kujua Pricing strategies wakati unauza products nyingi tofauti
 
Sikutaka kwenda mbali sana ,but the below articles can be helpfull
[h=1]Break-even analysis with multiple products[/h]Posted in: Cost Volume and Profit Relationships




The method of calculating break-even point of a single product company has
been discussed in the break-even
point analysis article
. In this article, I would explain the procedure of
calculating break-even point of a multi product company. A multi-product company
means a company that sells two or more products.

The procedure of computing break-even point of a multi product company is a
little more complicated than that of a single product company.

[h=2]Formula:[/h]
A multi product company can compute its break-even point using the following
formula:



For computing break-even point of a company with two or more products, we
must know the sales percentage of individual products in the total sales mix.
This information is used in computing weighted average selling price and
weighted average variable expenses.

In the above formula, the weighted average selling
price
is worked out as follows:

(Sale price of product A × Sales percentage of product A) + (Sale price of
product B × Sale percentage of product B) + (Sale price of product C × Sales
percentage of product C) + …….

and the weighted average variable expenses are
worked out as follows:

(Variable expenses of product A × Sales percentage of product A) + (Variable
expenses of product B × Variable expenses of product B) + (Variable expenses of
product C × Sales percentage of product C) + …….

When weighted average variable expenses per unit are subtracted from the
weighted average selling price per unit, we get weighted average contribution
margin
per unit. Therefore, the above formula can also be written as
follows:



An example would be very helpful to understand the whole procedure. Consider
the following example of a multi product company:

[h=2]Example:[/h]
The Monster company manufactures three products – product X, product Y and
product Z. The variable expenses and sales prices of all the products are given
below:

[TABLE="width: 468"]


[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]Product X[/TD]

[TD="align: center"]Product Y[/TD]

[TD="align: center"]Product Z[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Sales price per unit[/TD]

[TD="align: center"]$200[/TD]

[TD="align: center"]$100[/TD]

[TD="align: center"]$50[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Variable cost per unit[/TD]

[TD="align: center"]$100[/TD]

[TD="align: center"]$75[/TD]

[TD="align: center"]$25[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

The total fixed expenses of the company are $50,000 per month. For the coming
moth. Monster expects the sale of three products in the following
ratio:
Product X: 20%;
Product Y: 30%;
Product Z: 50%

Required: Compute the break-even point of Monster
company in units and dollars for the coming month.

[h=3]Solution:[/h]
Monster company sells three products and is, therefore, a multi product
company. Its break-even point can be computed by applying the above formula:


= $50,000 / $95* – $55**
= $50,000 / $40
= 1,250 units​
*Weighted average selling price:

= ($200 × 20%) + ($100 × 30%) + ($50 × 50%)
= $40 + $30 + $25
= $95

**Weighted average variable expenses:

= ($100 × 20%) + ($75 × 30%) + ($25 × 50%)
= $20 + 22.50 + 12.50
=
$55

The company will have to sell 1,250 units to
break-even
. Now I would compute the number of units of each
product to be sold:

[TABLE="width: 332"]


[TR]

[TD]Products[/TD]

[TD="align: center"]No. of
units
[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Product X (1,250 × 20%)[/TD]

[TD="align: center"]250[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Product Y (1,250 × 30%)[/TD]

[TD="align: center"]375[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Product Z (1,250 × 50%)[/TD]

[TD="align: center"]625[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]---[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Total[/TD]

[TD="align: center"]1,250[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]---[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

As the number of units of each individual product to be sold have been
computed, I can compute the break even point in dollars as
follows:

[TABLE="width: 327"]


[TR]

[TD]Product X (250 units × $200)[/TD]

[TD="align: center"]$50,000[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Product Y (375 units × $100)[/TD]

[TD="align: center"]$37,500[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Product Z (625 units × $50)[/TD]

[TD="align: center"]$31,250[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]----[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Break-even point in dollars[/TD]

[TD="align: center"]$118,750[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]----[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

The break-even point of Monster company is $118,750. It can be verified by
preparing a contribution
margin income statement
as follows:

[TABLE="width: 327"]


[TR]

[TD]Sales (break-even point in dollars)[/TD]

[TD="align: center"]$118,750[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Less variable expenses[/TD]

[TD="align: center"]$68,750*[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]----[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Contribution margin[/TD]

[TD="align: center"]50,000[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Less fixed expenses[/TD]

[TD="align: center"]50,000[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]----[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Net operating income[/TD]

[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD][/TD]

[TD="align: center"]----[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

*(250 units × $100) + (375 units × $75) +
(625 units × $25)
= $68,750
 
Nyie mnaokuja na viingereza vyenu vya kukariri vyuoni ndio mnatupa tabu nakufanya maisha kuwa magum.
Mie binafsi zijaelewa hata moja.

Mleta mada ameelewa vizuri tu, na ame target maisha na wafanyabiashara wa kawaida. Sasa hizo kanuni zako na maisha halisi haziendani. Ndio maana watu wakimaliza vyuo vikuu katika masomo ya biashara na wakilazimisha walichosomea lazima hakiendani na hali iliyopo wanakwambia.

Weka utaratibu mwepesi na unaoeleweka. Na hizo kanuni za kizungu mpe Bakhresa na Mengi. Tuachie sie Babalishe na hesabu zetu za Makirita.
 
Inategemea na uelewa wa mtu,lakini hizo ndo basics za pricing kama huelewi nia sawa pia
Sijaja kuonyesha nilivyosoma ,ila na vi apply maishani.Hata darasani mtu halazimishwi kukaliri kila kitu ,unachukua kile chenye manufaa kwako ,na vingine unaviacha mkuu
 
Nyie mnaokuja na viingereza vyenu vya kukariri vyuoni ndio mnatupa tabu nakufanya maisha kuwa magum.
Mie binafsi zijaelewa hata moja.
Mleta mada ameelewa vizuri tu,na ame target maisha na wafanyabiashara wa kawaida.
Sasa hizo kanuni zako na maisha halisi haziendani.Ndio maana watu wakimaliza vyuo vikuu katika masomo ya biashara na wakilazimisha walichosome lazima kiendani na hali iliyopo wanakwamba.

Weka utaratibu mwenyepesi na unaoeleweka.Na hizo kanuni za kizungu mpe Bakhresa na mengi.Tuachie sie Babalishe na hesabu zetu za Makirita

Asante sana mkuu kwa kuliona hili.

Tatizo la haya mambo tunayojifunza darasani ni magumu sana kuyaweka moja kwa moja kwenye maisha ya kawaida. Ndio maana wasomi wengi sio wajasiriamali wazuri, wakati wao wana analyse kila kitu layman wanachangamkia fursa, wana aply kinachofanya kazi na anafanikiwa.

Tunahitaji sana elimu ya biashara lakini sio haya makitu magumu hivi ambayo mtu hawezi kukuelezea kirahisi ukaelewa mpaka akuletee na topic nzima usome tena.

Lengo langu mimi ni kumpatia mbinu zinazofanya kazi kila mjasiriamali na mfanyabiashara anayetaka kukuza biashara yake zaidi. Niweze kumpa kitu ambacho atakielewa na anaweza kukitumia mara moja.

Haya mengine ni ya kujibia mitihani, kama unataka kupata uprofesa na mengine.
 
ha ha ha watu wa maofisini ni shida. Formula alizojifunza darasani ndo anazileta mtaani
 
Back
Top Bottom