Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na kufanya "innovation mkuu"
Jamaa ame-condemn na kutupia mzigo wa lawama moja kwa moja walimu wa uchumi na biashara kuwa kuwa asilimia kubwa ya walimu hawa/ma-lecturer wengi si wafanyabiashara bali ni operators wa mifumo/theories za kiofisi /aidha binafsi au serikali
Kwa maoni ya mlalamikaji endapo walioko kweny field ya biashara wakipewa vyuo /successful business people kufundisha na kunoa vijana itapunguza ukakasi wa vijana wengi kutembea na bahasha la kaki.
Sizungumzii course zote(maana zingine moja kwa moja ni kuajiriwa mfano diplomasia)
-Nazungumizia businesss administration
-course za finance
-course za insurance
_marketing
_Human resource(nimeiweka hii kwasababu) inahusiano moja kwa moja na hizo twaja hapo juu
.
Wafanyabiashara tuwape vyuo ili tujue wapi panapovuja maana (sahivi neno elimu iko theoretically sana ndo limekua Kauli mbiu)
Sasa wadau mnasemaje kuhusu hili tuwakabidhi vijiti wenye biashara zao?? Ama tu waachie waadhiri(Aya ni maoni sio mswada)
Karibuni kwa michango..