Biashara mpya ya usafiri wa haraka.....Dar!!

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
4,741
Reaction score
3,035
Kutokana na foleni za magari na usumbufu usiyokwepeka imebidi kuvumbua usafiri wa haraka..... Tumia helikopta.

Helicopter for hire lands on rooftop of ten-storey building in downtown Dar es Salaam last week. Those especially “allergic” to the inconveniences caused by the road traffic jams the city is notorious for may wish to know that a flight on the chopper from the city centre to Julius Nyerere International Airport costs US$275, which comes to roundabout 440,000/-.
 
Hiyo ni bill ya mwezi au ni one trip?
 
Sasa kila sehemu utataumia helcopter we jamaa vp ww...na watz wangapi wanaweza kutumia huo usafiri, suala ni sisi kuibana serikali itimize wajibu wake kuondoa hii shida ya foleni, huu mji hauna barabara za kutosha or so wapime mji mwingne nje ya huu...
 
Naongezea hapo kuwa Serikali iweke msukumo wa kutosha kwanza kukamilisha Mradi unaoendelea barabara kubwa ya Morogoro na zingine zote zilizomo katika mradi huo. Inaonekana kuna hujuma ndani yake kwani jamaa wanaonekana kufanya kazi siku zote lakini maendeleo hatuyaoni.
 
Tehe tehe.....jamani mbona wakali mwenzetu anatafuta walaji wanatoshea
 
Ntajitahidi kuserbe ili ni ipande...! Si kwasababu nakwepa foleni bali ke-expiriens helcopter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…