habari waheshimiwa.naomba msaada wenye
uzoefu na haya mambo.kuna jamaa yangu
alimuona muuzaji ktk site ya Nifahamishe uza na
nunua.ana uza mobile phones location hungury
ila contacts zake za uk.wakafanya communication
then payment zikafanyika kupitia western union kwenda hungury.pindi wanawasiliana nae
alikuwa ana2mia namba ya nigeria.baada kama
ya siku mbili akasema aongeze hela kama usd
1500 coz ameongeza idadi za simu eti alimuambia
na akakubali ila muhusika hakumbuki kama
alimtarifu kabla.basi malipo ya mara ya pili akasema am2mie nigeria badala ya hungury.na
akasema pindi tu malipo ya mara ya pili
yakikamilika atapata mzigo wake ambayo ni
tarehe 30 dec 2013.cha ajabu mpaka leo
hajapata chochote,ame2mia usafirishaji wa
broadline 247.na ukiweka track number inasema bado ipo julius nyerere airpot mpaka sasa.yeye
kajaribu kuwasiliana nao wote muuzaji na
shipper (broadline 247) kuanzia asubuhi mpaka
jioni ndo wakasema mpaka ifike mwanza lazima
ilipwe dola kama 970 kama custom duty ndio
ita2mwa mza tena i2mwe hungury kupitia western union halaf wao broadline ndio watalipa
custom,sasa mimi na muhusika 2mepata
wasiwasi 2talipaje ushuru hata mzgo ha2jaona?je
ipo sawa hio au ndio matapeli?