Biashara na Ajira mtandaooni

Elisante mmeku

angalia hiyo tovuti uliyotoa ni freeservers tena ya bure , mara nyingi vitu vya bure katika mtandao vina gharama zake , kama unataka biashara nzuri ya yenye faida nunua parkage nzuri na ya maana ya host na weka tovuti yako huko haita sumbua

ahsante
 
Nashukuru nduguyangu shy kwa changamoto yako
Hiyo link ya "freeservers" uliyoiona hapo juu ni jitihada zangu binafsi(self-initiatives) kutaka wewe ndugu yangu shy upate muhtasari(quick overview) juu ya hii biashara.
Hivyo ndugu yangu shy usiishie hapo, chukuha hatua ya ku-visit www.cashinjectionstrategy.com na usignup huko (ni
free) utapata access ya materials maalumu kuhusu jinsi biashara hii inavyofanyika huenda ukagundua kitu huko
 
Biashara kama hii ipo sana hapa tanzania kuna kampuni ya FLP ( forever living product) na kuna watu walioweza kupata hela kweli na wengine wasiojua kuuchapa mdomo kama mimi iliwashinda na kuambulia hasara tu.
kwazi kwenu


 
Biashara kama hii ipo sana hapa tanzania kuna kampuni ya FLP ( forever living product) na kuna watu walioweza kupata hela kweli na wengine wasiojua kuuchapa mdomo kama mimi iliwashinda na kuambulia hasara tu.
kazi kwenu


 
Mmeku

mimi nitakushauri tu na kukupa mawazo zaidi lakini siwezi kutenda kwa kweli

nakutakia mafanikio lakini hakikisha unaanzisha cha kwako sio links
 
badonipo, Uzuri wa biashara hii huhitaji kupiga domo sana kila kitu unamalizia kwenye mtandao yaani website utakazopewa once unasignup ndo matangazo yako pamoja na tools kama banners, calling cards, flyers n.k. Simple!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…