Biashara na Biashara

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Wakuu najua humu ndani ya JF kuna watu kutoka Msoma mtanisaidia hasa wale watokao Tarime mpakani na kenya al-maarufu Wajaruo!
Nimepitia mikoa yote ya Tanzania nikafanya karesearch kangu nikaja kugundua kuwa aslimia 97% ya watengeneza mihuri (Rubber Stamp)wote ni WAJARUO!!Swali je Nikwanini??au Mihuri imeanzia kwao??Nijuzeni weledi!:wave:
 
Umefanya research kwa watengeneza mihuri wangapi mikoa gani?
 

Hii nayo ni habari ya BIASHARA!!!! Wajaruo......wajaluo? mwe. Hii nadhani ingeenda pale chini.
 
Umefanya research kwa watengeneza mihuri wangapi mikoa gani?

Mkuu nikaribu mikoa yote tanzania mikoa ambayo sijaipitia ni huko kusini!!Nitawaomba wale waliofika kusini watulete research yao then tukompaili data tutoke nakitu kizima!!naomba wakuu dat za kusini kuhusu Wajaruo!!Nasubiri hapa 😛layball:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…