Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Serikali inaingilia sana wakulima wa mahindi wanaouza nje nasikia, mara wakataze exports, kodi zisizoeleweka, rushwa etc wakenya wameona isiwe tabuWakenya wamebadili upepo wa soko la wakulima wa mahindi baada ya kuamua kununua mahindi nchini Zambia. Je, ni baada ya zile taarifa kuwa mahindi yanauzwa shambani kabla hayajakauka vizuri na kusababisha (aflatoxins) sumu kuvu?
Thread ifungwe, tukale chips yai na Pepsi baridi......Biashara na kilimo ni vipawa au vipaji kama ilivyo kucheza Mpira au kuimba Muzik.
Hata muziki una Hela ila sio Kila mtu anaweza kuwa mwanamuziki.
Hakuna sector isiyo na Hela na hakuna sector ni rahisi kupata Hela.
Explore your identity kisha chagua biashara yenye alignment na identify na kipaji chako Kisha kuwa na consistency utafanikiwa.
Wengi mtihani unakuja hapo kwenye self exploration and determination ndio maana ukiambiwa kuuza Nguo Kuna lipa unaenda kuuza Nguo.
Au mwingine alikuwa bwana shamba au mwalimu anastaafu ananunua Lori au coaster daladala ili aanze biashara ya usafirishaji wakati hajui hata bei ya tairi na hajui hata gari inatumia mafuta kiasi gani kwa kilometa 10 hapo akifeli eti ataanza kumtafuta mchawi
Ndio inabidi utafute solution yake usiuze kwa mazoea.
Jiulize wao madalali wanatumia mbinu gani kuuza ili na wewe utumie mbinu yako mkutane sokoni
Wakenya wamebadili upepo wa soko la wakulima wa mahindi baada ya kuamua kununua mahindi nchini Zambia. Je, ni baada ya zile taarifa kuwa mahindi yanauzwa shambani kabla hayajakauka vizuri na kusababisha (aflatoxins) sumu kuvu?
Serikali inaingilia sana wakulima wa mahindi wanaouza nje nasikia, mara wakataze exports, kodi zisizoeleweka, rushwa etc wakenya wameona isiwe tabu
Yeah sababu ni kwamba akishanunua tu gari atakiwa amegomboka na gari itakuwa inamletea pesa kila siku akiwa amelala nyumbani kumbe hajui ni mchakato mrefuHii kaka inawakuta sana waalimu hasa wa vijijini. Baada ya miezi 6 linapaki juu ya mawe au mwisho wa siku anauza kwa hasara sana.
Wakati pengine hata ulipaswa uwe mchoma mkaa upige hela nyingi maana ndo path yako iko huko.πππWengi mtihani unakuja hapo kwenye self exploration and determination ndio maana ukiambiwa kuuza Nguo Kuna lipa unaenda kuuza Nguo.
Yeah sababu ni kwamba akishanunua tu gari atakiwa amegomboka na gari itakuwa inamletea pesa kila siku akiwa amelala nyumbani kumbe hajui ni mchakato mrefu
Machawa huwa hawakosekani kila mahaliNa kuna watu ni wataalam wa kuwalia radar hao wataafu kuwashawishi kununua hayo magari mara tractor na mengine mengi.