Biashara na mazingira

Seleman bigambo

New Member
Joined
May 24, 2024
Posts
2
Reaction score
2
Apongezwe huyu mama alieamua kutumia nishati Safi ya umeme katika biashara yake ndogo ya chips ili kujikwamua kiuchumi.

Umuhimu wa nishati Safi ni.
. Huokoa muda katika kuhudumia wateja.

. Huifadhi mazingira na kuwa Safi na nadhifu.

. Mfano umeme huliongezea pato shilika la umeme Tanzania.

Kinachonivutia hapa sio matumizi ya umeme, wenge wanatumia umeme, ila kinachovutia ni uamuzi wa kishujaa wa kuamua kutumia umeme kwenye biashara yake ili kupunguza uchafuzi wa mazingira.

Huyu ni mfano wa kuigwa, apewe maua yake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…