Biashara na ufugaji wa Kasuku

Biashara na ufugaji wa Kasuku

Kyindikibisi

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
72
Reaction score
36
Habari wapendwa, nimeanza ufugaji wa Kasuku toka mwaka juzi na inakwenda vizuri ningependa kupata wadau wenzangu wa Kasuku.
 
Weka picha tuone, kasuku dili ni grey parrot wenye asili ya CONGO DRC
1592066528789.png
 
nilienda nyumba 1 ya kishua huko nkakuta banda la chuma kubwa lipo sebleni najiuliza hapa ni nini naona mzee kasuku huyo anashuka toka ghorofani kurejea kwenye banda lake....ila wana kelele hao na kusumbua wageni mi alikuwa anakuja anadonoa nguo yangu.
 
Back
Top Bottom