Biashara na ufugaji wa Kasuku

Kyindikibisi

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
72
Reaction score
36
Habari wapendwa, nimeanza ufugaji wa Kasuku toka mwaka juzi na inakwenda vizuri ningependa kupata wadau wenzangu wa Kasuku.
 
nilienda nyumba 1 ya kishua huko nkakuta banda la chuma kubwa lipo sebleni najiuliza hapa ni nini naona mzee kasuku huyo anashuka toka ghorofani kurejea kwenye banda lake....ila wana kelele hao na kusumbua wageni mi alikuwa anakuja anadonoa nguo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…