Biashara na uwekezaji

Biashara na uwekezaji

Leviz

Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
61
Reaction score
85
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
 
Wale wadau wa betting hebu njooni mumpe ODDS huyu mwamba.
 
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
Nenda liwale, sumbawanga au kigoma ndanindani ukatengenezwe.

Hiyo milioni 30 unayoitaka utaipata ndani ya miezi miwili na utapata zaidi ya hapo ukifuatisha masharti vizuri.
 
Faida kwenye biashara huwa range ya 15% hadi 30% ya mtaji ukiowekeza kwa mwezi ama mwaka.
Sasa wewe jamaa unataka faida ya zaidi ya mara 60 ya mtaji wako.

HIlo ki biashara halipo.
 
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
Labda bangi na faida haitafika huko
 
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
Nadhani unamaanisha betting na sio biashara wala uwekezaje...
 
Back
Top Bottom