Ngoja tufanye pilot study at Bukoba particularly NYAKIBIMBILI kama wateja watapatikana wa kununua bidhaa za hao wafanyabiashara ndogo ndogo. Nadhani KILIMO can do better than biashara ndogo ndogo maana chakula hakijawahi kosa mnunuzi...kila siku kila leo(najua Karagwe sometimes ndizi hukosa wanunuzi sababu ya usafiri kuja sehemu zingine!)