President Elect JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 693 Reaction score 212 Apr 10, 2015 #1 Serikali itoe kipaumbele kwa wenye biashara ndogo ndogo na wasifanye mzaha na mali za watu jamani! Huu mtindo wa mgambo kuteka bidhaa za machinga kwa maslahi yao binafsi haufai kabisa!
Serikali itoe kipaumbele kwa wenye biashara ndogo ndogo na wasifanye mzaha na mali za watu jamani! Huu mtindo wa mgambo kuteka bidhaa za machinga kwa maslahi yao binafsi haufai kabisa!