Biashara ndogondogo Kariakoo

Biashara ndogondogo Kariakoo

OmmiySpyMomba

New Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
2
Reaction score
2
Habari za kushinda wana JF

Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo.

Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli.

Anaefahamu NisaidieeenšŸ™šŸ™
 
Inategemea uhusiano ulionao na hao wafanyabiashara kkoo,vyote vyawwzekana ushap wako tu
 
Una uhakika Wapo humu hao wafanyaji biashara wadogo wadogo Wa kariakoo ?
Mi naona ungewafata hapo hapo walipo uwaulize..!
 
Una uhakika Wapo humu hao wafanyaji biashara wadogo wadogo Wa kariakoo ?
Mi naona ungewafata hapo hapo walipo uwaulize..!
Kwa hiyo unataka kuniambia JUKWAA LA BIASHARA NA MATANGAZO MADOGO MADOGO HALIWAHUSISHI?
 
Back
Top Bottom