O OmmiySpyMomba New Member Joined Jul 22, 2022 Posts 2 Reaction score 2 Aug 2, 2022 #1 Habari za kushinda wana JF Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo. Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli. Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
Habari za kushinda wana JF Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo. Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli. Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,584 Reaction score 12,461 Aug 2, 2022 #2 Inategemea uhusiano ulionao na hao wafanyabiashara kkoo,vyote vyawwzekana ushap wako tu
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Aug 2, 2022 #3 Una uhakika Wapo humu hao wafanyaji biashara wadogo wadogo Wa kariakoo ? Mi naona ungewafata hapo hapo walipo uwaulize..!
Una uhakika Wapo humu hao wafanyaji biashara wadogo wadogo Wa kariakoo ? Mi naona ungewafata hapo hapo walipo uwaulize..!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 2, 2022 #4 kinje ketile said: Una uhakika Wapo humu hao wafanyaji biashara wadogo wadogo Wa kariakoo ? Mi naona ungewafata hapo hapo walipo uwaulize..! Click to expand... Kwa hiyo unataka kuniambia JUKWAA LA BIASHARA NA MATANGAZO MADOGO MADOGO HALIWAHUSISHI?
kinje ketile said: Una uhakika Wapo humu hao wafanyaji biashara wadogo wadogo Wa kariakoo ? Mi naona ungewafata hapo hapo walipo uwaulize..! Click to expand... Kwa hiyo unataka kuniambia JUKWAA LA BIASHARA NA MATANGAZO MADOGO MADOGO HALIWAHUSISHI?
NCHABHILONDAA Member Joined Jul 5, 2022 Posts 39 Reaction score 22 Aug 3, 2022 #5 clinician said: Tabu yote ya nini ndugu? hapa sio instagram au facebook kuparamia nyuzi za watu....Anzish uzi wako kisha post matangazo yako,comment uwezavyo ili tangazo lako libaki juu Click to expand... Sawa, Nashukuru[emoji120]
clinician said: Tabu yote ya nini ndugu? hapa sio instagram au facebook kuparamia nyuzi za watu....Anzish uzi wako kisha post matangazo yako,comment uwezavyo ili tangazo lako libaki juu Click to expand... Sawa, Nashukuru[emoji120]