DAMAS EDWARD
Member
- Aug 14, 2012
- 12
- 2
[/QUOTE]1 - Uzoefu wa kufanya kwa muda mrefu na kuvumilia mengi waliyopitia.
2 - Rasilimali watu - wamejijengea network ya watu wengi muhimu ambao ni muhimu ktk biashara wanazofanya.
3 - Ujuzi. Wamejitahidi kutafuta na kupata ujuzi wa biashara wanazofanya.
4 - Mtaji wa kutosha. Wamewekeza mitaji ya kutosha ktk biashara zao.
5 - Imani kulingana na Mungu/ miungu yao. Wapo wanaotumia hirizi, freemasons, na wapo wachamungu wanaofuta miiko na kanuni za kiungu ktk uendeshaji biashara.
6 - Zali, Ngekewa, Bahati.
Are entrepreneurs born or made?
Kuna hoja tofauti kuhusu uwezo wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara,kwa anayefahamu hili....
Ningependa kufahamu uwezo mkubwa wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania na East Africa kwa ujumla, Je, ni uwezo binafsi au kuna njia mbadala walizotumia kufikia hapo.
Are entrepreneurs born or made?
Nadhani kila kitu anachojua binadamu na kubobea katika hicho lazima awe amejifunza(nurture),tofauti na wanyama,mnyama anapozaliwa anakua tayari "naturally" anajua " specie" yake inamtaka aishi vipi.
Ndege anapototoa watoto wake haitaji kufundishwa atunze vipi,tayari anajua,tofauti na binadamu,uzazi tunajifunza,hakuna mtu anayezaliwa na asili ya kujua kitu flani,the same applies to entrepreneurship,sijui hayo ya spirit,nakini naamini,if one wants to be really good at something,they have to learn.
Born not made
wewe unaongea nini? Niambia hao wavumbuzi walisoma wapi kuvumbua vitu vyao? homa Edson waai angundua Balbu alisoma wapi? kama hujui ni Bora kukaa kimya,
Entreprenership haifundishwi, tatizo tunachanganya Madesa
Hivi kujifunza lazima kusoma!?Edison alipokua anafeli alikua anafanya nn kama kujifunza kupitia trial and error?na sidhani kama alizaliwa anajua kutengeneza bulb!haha!
Wewe nazani hata hujui kinacho zungumuziwa, so unajua tofauti ya Made na Born na je Edson aliluwa ni made Entrepreners?
Siamini katika made entrepreneurs,naamini watu wanazaliwa na tabia ambazo zinawawezesha kufanikiwa katika mambo flani,mfano mtu anazaliwa na kipaji cha kuongoza watu,huyo anaweza kufanikiwa kama entrepreneur.
Kitu anacho Jifunza Mjasirimali au kozi zinazo tolewa ni kama vile Jinsi ya Kundaa Business planing, Marketing, Finacila Plan, na zinginezo,Lakini the rest kuhusu entreprenurship huyu mtu anapaswa ajifunze,ni kawaida ya binadamu,na kujifunza si lazima ukae darasani,zipo njia nyingi.
Kitu anacho Jifunza Mjasirimali au kozi zinazo tolewa ni kama vile Jinsi ya Kundaa Business planing, Marketing, Finacila Plan, na zinginezo,
Ila Huwezi fundishwa jinsi ya Kutake Risk , huwezi fundishwa jinsi ya kuwa inovetor, huwezi fundishwa failure, na kazalika
Sio kipaji bali ni ubunifu wao na kujitoa kwaoKuna hoja tofauti kuhusu uwezo wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara,kwa anayefahamu hili....
Ningependa kufahamu uwezo mkubwa wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania na East Africa kwa ujumla, Je, ni uwezo binafsi au kuna njia mbadala walizotumia kufikia hapo.
Are entrepreneurs born or made?