klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
kweli bongo ukombozi ni ndoto! yaani nimejitolea kuwakomboa halaf mnafanya mzaha! omba razi kabla sijahairisha hii motion yangu. halaf bora omba razi kwa PM.wenzio tupo serious hapa.
Utakula fimbo hadi usahau jina lako.
kweli bongo ukombozi ni ndoto! yaani nimejitolea kuwakomboa halaf mnafanya mzaha! omba razi kabla sijahairisha hii motion yangu. halaf bora omba razi kwa PM.
ukiwa na Tigo ukatumia credits zikifika below Tsh 50/= utajuta!
mnahimizwa kujifunza kiswahili! sasa hili ni suala gani? halaf mod akikuban unalalamika?hivi razi ni kiungo cha mwili au?
hivi razi ni kiungo cha mwili au?
Kwa kiswahili hapo utakesha, mshtaki kwa Dena, ndio kifimbo cheza
mnahimizwa kujifunza kiswahili! sasa hili ni suala gani? halaf mod akikuban unalalamika?
njoo huku basi tufanye revision, namie nilisoma hapo hapo.mwenzio nina phd ya kiswahili nimeipatia havard university.
Usishangae.
mwenzio nina phd ya kiswahili nimeipatia havard university.
Usishangae.
Afadhali wewe una PHD ya kiswahili toka Havard,mwenzio nina miaka zaidi ya kumi sijaongea na mtu kiswahili zaidi ya hapa JF ila kwa domo la Guruwe nikakutoa kapa hahahahahah.....................
, namie nilisoma hapo hapo.
halafu mkopo wenyewe wakijinga eeeeeti tigo kwenda tigo mkopo wakijinga huo! Tigo wasipobadilika nawamwaga rasmi!ukitaka kujuwa kuwa tigo wanabidii ya kutuma sms kopa muda wa maongezi, utatumiwa sms nyingi sana hata kama umekopa shilingi 200. Wao wanatuma sms bila kuchoka na wanabidii kweli. Na utatamani kuzima sim.
Naaaaam...ooh sorry.... Jana na leo!! Kwani mnaongelea nini hapa!Katavi upoooooooooooooooooo???????