fredysumuni
Member
- Jun 12, 2019
- 33
- 36
Nimelipia primeum hakona chochoteKama una biashara yoyote unaona kiwango cha mauzo kipo chini nicheki nikuelekeze jinsi yakupost biashara yako kwenye application yetu ya kupatana.com ambapo tumeboresha baadhi ya vipengeleView attachment 1332838
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali bro endelea kupakia biashara ukikwama nipo kwa ajili ya wateja wetu
Usikate tamaa mkuu inategemea ni aina gani ya biashara uliipost si unajua kuna aina ya biashara demand yake ni ndogo
Sasa si umesema km mauzo yako chini yatapanda? Baasi kwenye tangazo weka angalizo kua km biashara yako demand ni ndogo kaa mbali na sisiUsikate tamaa mkuu inategemea ni aina gani ya biashara uliipost si unajua kuna aina ya biashara demand yake ni ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tangazo la wiki mbili na la mweziSasa si umesema km mauzo yako chini yatapanda? Baasi kwenye tangazo weka angalizo kua km biashara yako demand ni ndogo kaa mbali na sisi
On a serious note, hiyo premium ni shs ngapi? Yaani nikilipa tu mnaanza kunitangaza ? For how long?