Biashara ni mkombozi

Biashara ni mkombozi

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
Napenda kujua mbuzi kama hawa nitawapata wapi?mi nipo Tanga

Screenshot_20191031-165954_WhatsApp.jpeg
 
Hawa mbuzi wanaitwa Boer wanapatikana sana S Africa na Kenya pia wapo
Wanafika mpaka 100kg na bei yake ni kubwa
Ila kuna matapeli wameuza kwa picha sana kwa hiyo jihadhari sana
 
Kunajirani yangu mmoja anao niwakubwa sio kawaida
 
Back
Top Bottom