Biashara ni mkombozi

Hawa mbuzi wanaitwa Boer wanapatikana sana S Africa na Kenya pia wapo
Wanafika mpaka 100kg na bei yake ni kubwa
Ila kuna matapeli wameuza kwa picha sana kwa hiyo jihadhari sana
 
Kunajirani yangu mmoja anao niwakubwa sio kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…