NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Elimu inayozungumziwa hapa ni ya darasani (formal)
Chuoni unaweza kwenda kusomea degree business administration ama ya ujasiriamali na ukawa unapata 100 wenye mitihani kwa kujibu kwa usahihi kwamba mjasiriamali inabidi asikate tamaa, aipende biashara yake, asidokoe mtaji, awe mvumilivu kwa kujibana ili ajipanue kibiashara, asiwe muoga, n.k lakini je kwa vitendo utaweza ???
Biasara ili ufanikiwe inabidi uwe na sifa zake ndani ya dna ya mwili wako ama ufunzwe kwa vitendo nje ya darasa (informal eucation), hii mambo ya kuandika kwenye karatasi ni kama kusomea vita darasani kujua kwamba vita inahitaji ujasiri na kuchambua vipengere vya ujasiri kiundani lakini unafika huko vitani unatamani kukimbia huku ukibaki mdomo wazi kujiuliza ni vipi baadhi ya wakuria uliowakuta vitani ambao baadhi yao hata hawajafika form 4 wana ujasiri ?, 😂
ni kwamba ipo hivi, kama una dna ya biashara unaweza hata ukaenda kusoma chuo na ukafeli kozi ya biashara lakini ukianza biashara ya vitando ukafanikiwa tofauti na yule ambae kwenye karatasi la mtihani anapata 100 lakini ukimleta uwanjani anapata F, yule mwenzake alieshindwa mtihani wa darasani ndio anaanza kuwa mwalimu wake katika ulimwengu wa biashara kiuhalisia,
Umepata hasara kidogo tu ama hujauza siku nzima unaanza kulia ?? hivi utaweza biashara kweli ??
katika haya makundi wana tamaduni nzuri kwenye biashara, watoto huandaliwa mapema kurithishwa biashara na pia kuna kupeana mitaji kwa lengo la kubebana, makabila mengine mengi hali no tofauti huwa kulna ile kila mtu ajoambanie mwenyewe hakuna kubebana na ukibebwa basi uwe chini ya aliekubeba, kuna umimi na ubinafsi wa kujimilikisha vitu wenyewe hawataki kuwapa wengine kwa ushamba wa kutaka kuwa juu kuzidi ndugu wengine.
Biashara ni kitu ambacho naweza kusema ni asilia kwa kiwango kikubwa, ukiona kwamba jamii inaweka biashara mbele kuliko hata elimu ujue hao biashara imo ndani ya damu.