Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa.
Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika biashara kama mzee wangu bakhresa,, natamani ningekuwa na busara kama za marehemu mzee mengi, natamani ningekuwa na uvumilivu kama rostam azizi, natamani ningekuwa na ujanja katika biashara kama GSM, Natamank ningekuwa mbunifu katika biashara kama fatema dewji, natamani ningekuwa jasiri katika biashara.
Hivyo ndoninavyotamani wewe unatamani nini...??