Habari zenu wakuu wa jukwaa la watu wazima wenye akili zao timamu.
Naombeni msaada wa taratibu za kufuatwa ili mtu aweze kufanya biashara nje ya nchi. Mf. Tz na china, uganda, kenya, au nchi nyingine.
Kila biashara ina taratibu zake,mfano kama biashara ya chakula basi itakulazimu uwatafute watu wa tfda wakupe leseni,kama hardware itakulazimu uwatafute watu wa tbs etc!
Kila biashara ina taratibu zake,mfano kama biashara ya chakula basi itakulazimu uwatafute watu wa tfda wakupe leseni,kama hardware itakulazimu uwatafute watu wa tbs etc!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.