Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Itakuwa inahusu nn?Mkuu,actually hiyo ni project yetu
Lakini umeota vibaya,haturushi Rocket kwenye Orbit
Hakuna rocket inayokaa kwenye Orbit
Tunachopeleka kule ni LOWASSA SPACE TELESCOPE[LST]
Magnification power yake ni mara 10000 ya Hubble telescope!