Biashara nyingine!

Biashara nyingine!

masagati

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
492
Reaction score
357
habari wana jf,
mimi nina fanya biashara ya mazao ya shamba ila ninge omba kufahamu mfumo unao tumika
kwa wa nunuzi wa ufuta na mazao mengine ambayo soko lake huwa ni kwa wahindi .
una kuta wameanza na tsh,2900 alafu baadaye wana punguza wana nunua sh 2600 ni si muda mrefu tangu watngaze bei hiyo ya mwanzo.
Na hii naiona sana kwa mazao ambayo haya tumiki moja kwa moja na watanzania.
Ninge omba kujua kwa nini ina kua hivi?
 
Back
Top Bottom