Biashara nyingine

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na mfanyakazi.
Nna idea ya kuongeza nywele(rasta,weaving and wigs) au pombe kali kwa jumla. Nahitaji msaada wenu wa kimawazo. Mtaji nilionao wa kuongeza ni km 3m.
 
...to me ni ngumu kukwambia biashara gani, lakini unawez soma mazingira, nature ya watu, interest zao au if uko vizuri unaweza kugenerate interest na ukapiga biashara vile vile...
 
...to me ni ngumu kukwambia biashara gani, lakini unawez soma mazingira, nature ya watu, interest zao au if uko vizuri unaweza kugenerate interest na ukapiga biashara vile vile...

Thanks kaka,
nipo maeneo ya kawaida sana. Watu hawasomeki kiivyooo ndo tatizo. Uthubutu unakuwa mgumu kwa kuwa hela yenyewe ngumu so isipozalisha itaniumiza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…