Biashara nzuri kuliko zote

saladi

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
31
Reaction score
11
Jamani kuna ndugu yangu kanifuata kuniomba ushauri kwamba anataka kufungua dry cleaner na ana tsh milioni tatu.
Anauliza ni vitu gani vinatakiwa kwenye biashara hiyo,msaada wajameni tumsaidie dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…