Biashara nzuri ya kufanya

Gis expert

Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
28
Reaction score
6
Jamani nataka kufahamu ni biashara gani inaweza ikawa ni fursa nzuri kuifanya kama una mtaji wa kuanzia sh.1800000 na kuendelea. tafadhali naombeni mawazo.
 
Jaribu kuwa specific. Ukisema kuanzia 1800000 na kendelea, una maana hata milioni 100 hata zaidi?
 
Mara nyingi tunashauliwa kufanya tunachopenda, mfano waweza kushauliwa ufanye biashara ya samaki, sawa utafanya na faida utapata, lakini utajikuta hupendi ile shombo hivyo japo faida unapata itakuwia vigumu kuisimamia kwa ufasha kwa sababu ya ile shombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…