Biashara salon ya kike kati ya Katoro au Kahama

miles2020

Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
66
Reaction score
25
Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili.

Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi?

Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi?

Aina za wakazi wa mji huo je?

Natanguliza shukrani
 
Sasa hivi kama kote kunachuana make miji yote ina purukashani sana.Mi naona ungeweka katoro kwa sababu ni rahisi kupata product za uganda kwa bei rahisi.Uganda wa produc mzuri za vipodozi afu wateja wapo kibao tu kuliko kahama ambapo wadada wanajikuta class moja na dar.
 
Hivi barabara ya kahama geita iko na lami?

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa hivi kama kote kunachuana make miji yote ina purukashani sana.Mi naona ungeweka katoro kwa sababu ni rahisi kupata product za uganda kwa bei rahisi.Uganda wa produc mzuri za vipodozi afu wateja wapo kibao tu kuliko kahama ambapo wadada wanajikuta class moja na dar.
da! Mkuu umeniongezea kitu kichwani..nashukuru saana....
 
Barabara ya geita kahama kupitia kakora haina Rami mkuu labda uzungukie runzewe, namie najua ulimaanisha ile ya kakora siyo? Kama ndiyo basi hiyo haina Rami.
hiv kati ya kutoka geita mpaka katoro, na katoro mpaka kahama..wapi kuna umbali mrefu??
 
Barabara ya geita kahama kupitia kakora haina Rami mkuu labda uzungukie runzewe, namie najua ulimaanisha ile ya kakora siyo? Kama ndiyo basi hiyo haina Rami.
Nilimaanisha hii ya kakola..sasa serikali inashindwa kuweka lami barabara muhimu kama hii...shame on them..pia hiyo ya runzewe si ndio inayotokezea bwanga?..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom