TV4Sale Biashara: Samsung TV 32" Brand new

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,618
Habari..
Samsung TV original series [4] LED.
Built in decorder (kin'gamuzi cha ndani)


Bei ni 520,000.
Mazungumzo yanasikilizwa na muafaka unapatikana.

Kwa alie tayari mawasiliano yangu ni:
0716 403 314
0625 882 454
Karibuni nyote.
 
Hebu fafanua hicho king'amuzi cha ndani
 
Ukiwa nayo hii, kin'gamuzi cha pembeni inakua ni ziada tu kwani yenyewe inahitaji wire wa antenna Tu kufanya kazi ya kuonesha channels mkuu
Channels unapata za wapi? Kama hutojali nitajie za Tanzania zinazoptikana kwa kisimbuzi hiki
 
TBC
ITV
Channel 10
EATV
ZC2
SIBUKA maisha
Furaha TV
Citizen TV.
Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…