Biashara sawaa, kilimo haswaa!! mtaji wapii????

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
nimepitia mawazo mengi sana humu JF yakitoa namna ya kubuni wazo la kuboresha kipato!
Ila ni jia ipi ya kupata mtaji??
 
Nahisi bado jibu sahihi halijapatikana jamani unapataje mtaji from ziro ili kuwa hero?
naheshimu mawazo yenu
 
mkuu bank masharti kibao mara dhamana mara uwe na kikundi je mtu mmoja unafanyaje?

Anza na wazo LA mradi, Fanya upembuzi yakinifu ili mradi utekelezeke na ulete tija, weka katika maandishi ikibidi na hata kwa powerpoint. Nenda benki, onana na Meneja, jieleze vizuri kwa mdomo, Kisha mkabidhi makarati. Weka wazi unachohitaji kutoka kwake (benki)
 
Mnaweza kujikusanya vijana wengi mkajadili mawazo mbalimbali ya biashara na kutengeneza vikundi vidogovidogo vya vijana 5-15 ambao mna mawazo yanayofanana mkaamua kuunganisha nguvu kwa hicho kidogo mlicho nacho na kupata kikubwa cha kuanzia. Ila lazima kuweka misingi ya uaminifu na wote muwe na nia ya dhati. Kwa mtindo huo uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa sana.
 
Mtaji unaweza kuwa hata sh.50,000 kwa kila kijana kwenye kikundi, inategemea na mchanganuo wenu. sh. 50,000 si pesa ndogo ila ikiwepo nia ya dhati na uaminifu mnaweza kupeana muda wa kutoa hiyo pesa. Iwe kwa kuomba kwa watu wako wa karibu, kubeba maji, kujinyima katika hicho kidogo unachopata au hata kwa mkopo. ITAPATIKANA TU. Kila la heri ndugu yangu Juma WALEO
 
Last edited by a moderator:
Haswaa!cha muhimu ni idea ya nn unataka kufanya.sio lazima benki kuna watu wengi wana pesa na wengine hawajui wafanye nn nazo.come up with a business plan/idea.lete hapa watu watAkusaidia.
Imeandikwa "atafutae ataona". Soma vitabu kaka jinsi ya kufanikiwa bila kuwa na mtaji wako.ingia kwenye google;search how to start business without capital!hutakosa majibu
One more thing.is it true Juma leo huna kipato kabisaa??kwa sababu kama unacho then mtaji unao!! May unahitaji ushauri jinsi ya ku raise mtaji kutokana na kipato chako
 
Thanx sana Da pretty, decomm na malafyalep
ushauri mzuri ntaufanyia kazi mmerialize nyie ni gre8 thinkerz
SIKU NJEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…