Biashara,uchumi na ujasiriamali

Biashara,uchumi na ujasiriamali

Nickson Swai

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
597
Reaction score
549
Habari zenu mimi nauza carton za karatasi size A4 gm 80 Bei sh.57,000 mawasiliano 0714954609 pia mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu.Nyote mnakaribishwa.
 
Umelazilimishwa babu wewe ukikataa wengine wananua mbona kitu haikikuusu potezea unakua kama mwanamke mwenye mimba
Dogo kuwa mpole. Huna sababu ya kutukana, au kuwahusisha mama na dada zako kwenye mambo yako binafsi.
Nimekuambia wenzako huko Mikoani wanauza hiyo Katoni ya rim kwa elfu 48! Unatakiwa ujifunze tu kwamba hiyo bei yako haina uhalisia.
 
Nimechukizwa uliposema Baki nazo umeongea dharau Mimi sijawahi kuleta dharau pia jiheshimu ukiona potezea ujifunze polite language Haina uhalisia usinifundishe biashara aisee manake wengine wakipost mbona hamkebehi cpendi dharau potezea wewe ndio unayeuza?Ebooh
 
Kha!!
 
Back
Top Bottom