Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Habari wadau .
Najua huku naweza kupata ushauri mzuri wa kiiashara.
Na jambo dogo tu nataka kuuliza kwa wazoefu wa kusafiri pamoja na wafanyabiashara wakubwa .
Nna Access ya kutumiwa mzigo wa biashara kutoka nchi ya Ufaransa ,ila mpaka sasa Sijajua ni bidhaa gani amabazo zitafaa kuuzika hapa Tanzania kutoka Ufaransa ,hivyo kwa yeyyote mwenye utaalamu na ushauri juu ya hili naomba tushirikishana .
Natanguliza shukrani.