[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukabila ndio mzuri kwa hiyo timu, kipindi cha kwanza wacheze Wajita na cha pili Wakurya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina timu mkuu, huku nilikuwa napita tu
Nadhani ni wadau mbalimbali mkuuBiashara ipo chini ya nani? Anae hudumia timu
Ok nilijua na wewe ni Biashara FC,karibu Jangwani kumenogaaaaSina timu mkuu, huku nilikuwa napita tu
Nasikia mgodi wa dhahabu Nyamongo unachangia pia uendeshaji timu
Mechi ya azam tutaenda kuiona next monthSina timu mkuu, huku nilikuwa napita tu
Sio Biashara japo ni team ya nyumbani. Huko jangwani ndo kumenifanya nisitamani tena mpira [emoji19]
Utakuwepo?Mechi ya azam tutaenda kuiona next month
Basi vizuri [emoji4]tutaendaYap ntakua nishakuja na si ya kukosa hiyo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] sawa twende tukawabutue azam kipigo cha paka shumeBasi vizuri [emoji4]tutaenda
[emoji23][emoji23][emoji23]Cha mbwa koko [emoji23][emoji4] [emoji4] [emoji4] sawa twende tukawabutue azam kipigo cha paka shume