Polisi mara si ndio iliuzwa hiyo kwa hao biashara?Haya twende shime shime chama la nyumbani, ingekuwepo na polisi mara ingekuwa mzuka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni timu au wachezaji tu ndio waliouzwaPolisi mara si ndio iliuzwa hiyo kwa hao biashara?
Hii Timu kumbe ni ya MaraKama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara.
Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania
Yani we kwenye hii list umewasahau LUO??Tu support team yetu wana Mara wenzangu nina imani itafika mbali sana,ni suala la muda tu na kujitoa,naiona Mara mpya!!.Big up
- Kurya
- Jita
- Ikizu
- Zanaki
And other warriors tribes,together we can!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa et unamshambulia sana hahahaaaaaa\Habar leo tuko ulingoni tunaendelea na kipindi cha pili tunamshambilia sana Stand United
Tofautia na kipindi cha kwanza
Wajita hawatak kufanya sub mzee babaSubstitution imewasaidia sana Stand kwetu bado sub haijafanyika japo kuna baadhi ya wachezaji wanaonekana kutokuwa fiti mpaka sasa.
*Tuendelee kumuomba Mola dk bado zipo*
Sure for sureHivi hizi akili mbovu huwa mnazitoa wapi?.when you are driven by intuition and instinct you totally loose the sense of being an intellectual.
Timu inaitwa BIASHARA MARA,ile si timu ya Wajaluo,Wajita,Wakurya,Wasimbiti,Wazanaki na si timu ya kabila lolote liliko ndani ya Mkoa wa Mara wala nje ya mkoa.
Hii ni Timu ya Wapenzi wote wa mpira wa miguu na michezo kwa ujumla.
Huu ukabila wa ujinga mnaoanzisha ndo maana mnakwamisha maendeleo ya michezo.
Think critically;
IF YOU CAN'T HELP THEM DO NOT HURT THEM,LET THEM GROW.
Sent using Jamii Forums mobile app