Kama ni kweli itakuwa poa sanaNasikia mgodi wa dhahabu Nyamongo unachangia pia uendeshaji timu
Hahahaaaa leo wajita walisusa wakacheza wakurya wakachezea kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mangosha wa shinyanga
Acheni mambo zenu.za ukabila.. tukianza kutengana wenyewe eti sijui ya wajita sijui nini .. Kuna waKwaya.. waRuri. waZanaki.. na wengiiii... mkoa una makabila zaidi ya 20... Mkileta Hizi mambo hatutoifikikisha mbali... Acheni usoro.. Mimi ni mkwaya niliyekulia arusha Acheni hizo mambo
Hahaahaaa basi Nyasurula shule ya msingi Pembeni tu hapa kilia Kwa Maanda Ndio nyumbani kwa mama... Ukienda Nyegina jirani na Mzee Maway ndio kwetu kwa Babu.... Chama letu hiliAisee kweli wewe poti. Lakini kwa nini umeparuka Nyarusurya?...nikikutajia jina langu halisi la ukoo utapajua mpaka nyumbani ha ha ha ha basi kama upo Majengo mapya karibu na kwa marehemu Soku Fasion, basi salam zimfikie Familia ya Mzee Cherehan!
wa Mara tunajuana wajita ni shidaaaaa.. Lakini kwenye swala la timu hizi mambo haziitajiki hata kidogo tuPunguza povu,soma Uzi wote then angalia komenti za wachangiaji wanaojiita wenye Timu wanavyowasema vibaya Wajita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha umenipeleka Musoma kwa lazima muda huu dah!Hahaahaaa basi Nyasurula shule ya msingi Pembeni tu hapa kilia Kwa Maanda Ndio nyumbani kwa mama... Ukienda Nyegina jirani na Mzee Maway ndio kwetu kwa Babu.... Chama letu hili
Game ya Leo kipa katuokoa sana... Maforwad wetu wametuangusha... Msanii msimu huu hatushuki.. Tujipange jajiHa ha ha ha ha umenipeleka Musoma kwa lazima muda huu dah!
Kabisa. Kipa ametuokoa sana nadhani zile furu za Mwigobelo alizokula zinamsaidia sana kuwa makini!Game ya Leo kipa katuokoa sana... Maforwad wetu wametuangusha... Msanii msimu huu hatushuki.. Tujipange jaji
koma we jamaa..usituletee virusi
hata mimi jangwani... Lakini nyumbani kwanza..sigaaaaa
Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara.
Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania
Uwezo wa timu yetu ni mkubwa sana .... vijana wanajituma sana wanakaba mwanzo mwisho
Tukiendelea hivi tutafika mbali na tutautangaza Mkoa wetu wa Mara
Tatema Abhalisya mura ndo kauli mbiu hiyoKufungwa sio shida kwa kipindi hiki,cha msingi tuweke malengo kubaki ligi kuu kwa msimu huu kuliko kukomalia umaarufu ambao hatuna kwa sasa.
Tukikutana na wanyonge wenzetu kama yanga,tuhakikishe tunachua point zote 3.
Hivi kauli mbiu ya BUFC inasemaje wadau?