kuku mweus
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 765
- 603
Tunawasubiria makwasu kwasu fc aka gongowaziPoleni sana sijui mtamfunga na nani na wapi sasa
Daraja gani kigamboni amaLazima mshuke daraja
Ahahaaaa jifanye hujuiDaraja gani kigamboni ama
HahahaaEhe baada ya kuonesha mchezo mzur ndo ikawa sasa
Sisi tunaendelea kuliremba jeneza lenuTunawasubiria makwasu kwasu fc aka gongowazi
Ikifika January ndio utalifahamu vizuriDaraja gani kigamboni ama
Pambaneni na hali zenuSisi tunaendelea kuliremba jeneza lenu
Oi kila match wana draw na wako kwenye kiwanja cha nyumban lazima washuke darajaIkifika January ndio utalifahamu vizuri
Oi VP mbona huleti matokeoDaraja gani kigamboni ama
Hahaaa ckuwa na cm mkuu ila Jana tumetoa droo na jkt TanzaniaOi VP mbona huleti matokeo
Ohoile amang'ana mazomu
Nina was wasi yule Golikipa Nurdin Barola atasepa zake maaana kiwango chake kimeanza kuwatoa udenda wakubwa wa ligi, time will tell.Hahaaa ckuwa na cm mkuu ila Jana tumetoa droo na jkt Tanzania
Polen sana wazee sisi mbao na yanga tunazid kulisongeshaHahaaa ckuwa na cm mkuu ila Jana tumetoa droo na jkt Tanzania
Unawashwa takor nini, hashuki mtu hapa **** wewe.Oi kila match wana draw na wako kwenye kiwanja cha nyumban lazima washuke daraja
Tupo ata wakukodi, hapa twaomba Mungu atusaidie matokeo yabaki hivi hivi, ikishindikana basi sare.Wana Mara tupo
naomba matokeo mkùuMambo ni mazuri mpaka dakika hii kwa upande wa biashara united dhidi ya yanga afrika uwanja wa taifa.
Leo mambo yatanoga tu, biashara united ziba kabisa pua za vyura hawa, sitaki kusikia kelele zao.Biashara team piga goli mbili hawa vyura, tumechoka kelele zao.