Kamati ya ufundi Mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Halafu brother Eng. Shuku Otieno tumpe cheo gani?
Hahahaaaa hawa jamaa mimi nimeishi nao niwabaguz kishenz na huwa wanabaguana wao kwa wao na hiyo team ya biashara mara ni ya wajita ndo maana unaona huyo mkurya kama ana was was furanMshaanza kubaguana mapema namna hii?kumbe ndio maana umemkataa yule wa GPA 32 Kwa sababu ya Kabila lake la Kijita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Garibona namjua vizuri huyu mhaya,hafai hataAnaitwa Mwl mugisha Garibona kama cjakosea Niko tayar kurekebishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo hivyo ni mhayaAnaitwa Mwl mugisha Garibona kama cjakosea Niko tayar kurekebishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha hawa watakuwa kama Maji Maji au Coastal Union kipindi kile wanashuka darajaHahahaaaa hawa jamaa mimi nimeishi nao niwabaguz kishenz na huwa wanabaguana wao kwa wao na hiyo team ya biashara mara ni ya wajita ndo maana unaona huyo mkurya kama ana was was furan
Sent using Jamii Forums mobile app
Tu support team yetu wana Mara wenzangu nina imani itafika mbali sana,ni suala la muda tu na kujitoa,naiona Mara mpya!!.Big up
- Kurya
- Jita
- Ikizu
- Zanaki
And other warriors tribes,together we can!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are not back. You have just started. Be careful lest you go back to Championship.Itabidi nianze kuifuatilia timu hii ya hometown maana tulikosa uwakilishi kwa muda sana tukaishia kushangilia za wenzetu
Naona tumerudi wana Mara
hawa lazima washuke daraja na chama kubwa la yanga ndo litalowashusha darajaHahahhaha hawa watakuwa kama Maji Maji au Coastal Union kipindi kile wanashuka daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo ndio tushawasha Injini ya B52 Stratofortresshawa lazima washuke daraja na chama kubwa la yanga ndo litalowashusha daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hawa nina wasiwasi wanaweza kuwa na Vinasaba vya Matopeni aka wazee wa mchanganihawa lazima washuke daraja na chama kubwa la yanga ndo litalowashusha daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaaa hawa wengi wao ni bi hindu fc aka matopen fcHalafu hawa nina wasiwasi wanaweza kuwa na Vinasaba vya Matopeni aka wazee wa mchangani
Sent using Jamii Forums mobile app