Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Musoma tech, machinjioni then Majengo mapya ndio home.Wa Musoma Tech Wamrjaa tele humu!
Kuiwezesha Yanga na hiyo ni kwa Wapenzi na Wanachama tuu sio Wapenzi wa Biashara United au Bi Hindu fc
Wakifanya ujinga kipigo kipo pale paleSipati picha mechi za nyumbani kwenu vurugu
Na marefa wajiandae asee
Ile cyo ya wajita ile ya wakuryaHahahaaaa hawa jamaa mimi nimeishi nao niwabaguz kishenz na huwa wanabaguana wao kwa wao na hiyo team ya biashara mara ni ya wajita ndo maana unaona huyo mkurya kama ana was was furan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga kwel ni mwalimu mwisenge ana roho ya ubinafsi ndo atawakwamisha biashara
Gongowazi watushushe kwelhawa lazima washuke daraja na chama kubwa la yanga ndo litalowashusha daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nawakubali
Karume musoma tech na morembe secMazoezi wanafanyia uwanja gani??
Karume??
Au ndio wanafanyia kule uwanja wa Mara, hauna nyasi full michubuko??
It's obvious mmefulia!Kuiwezesha Yanga na hiyo ni kwa Wapenzi na Wanachama tuu sio Wapenzi wa Biashara United au Bi Hindu fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Morembe ni uwanja safi sana unaushinda hata mabatini wa Ruvu mara nne kwa uzuri wa pitch!