Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Vipi Waluo,Zanaki,Wakwaya,Simbiti na wengine watacheza kipindi gani Mkuu?.Ukabila ndio mzuri kwa hiyo timu, kipindi cha kwanza wacheze Wajita na cha pili Wakurya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana ndugu yangu tuko Pamoja sana!!.Kwel mkuu zile zilikuwa jokes afu nilikuwa namjibu punda fulan hivi alieanzidha hiyo mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watakuwa washangiliaji,si lazima mcheze wote[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Vipi Waluo,Zanaki,Wakwaya,Simbiti na wengine watacheza kipindi gani Mkuu?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ninamatatizo bora wewe uliye mzima,Nikikwambia Akili yako si njema nitakua nakosea,wewe una matatizo si mzima kabisa,unataka kuharibu huu Uzi na kufanikiwa kwa timu kwa ujumla!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefungwa na timu gani Mkuu??Wanamara tusikate tamaa licha ya kufungwa gori moja ugenini na kupoteza mechi ya leo
Ni wakati wa kuangalia ni wapi tumekosea na kurekebisha katika mechi zijazo
Hii ndo team yenye mashabiki mandazi mashabiki ushwara wasiojua mpira na leo imepigwaKatika Timu zote zilizopanda Ligi Kuu Bara msimu huu hii Timu ndio inaongoza kwa kuwa na mashabiki wanafiki,wapika majungu na wasiojua mpira na itarudi kule kule ilipotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaaaaa na wazanak wawekwe benchi wakurya wakiumia wao ndo waingieUkabila ndio mzuri kwa hiyo timu, kipindi cha kwanza wacheze Wajita na cha pili Wakurya
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaAhahahaaaaaaa na wazanak wawekwe benchi wakurya wakiumia wao ndo waingie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepigwa mzazi hawa jamaa lazima washuke daraja kama wamepigwa na kibonde kama costa sijui itakuwaje siku wakitana na wababe wakubwa kama mtibwa watapigwa hata magor mia moja
Hawa jamaa ni wakabira kinoma lakin nakuomba utunze hii coment lazima washuke daraja
Halafu nilichokiona hayo makabila mengine wanawadharau sana Wajita sijui tatizo nini,nishakutana na Wakurya na Wazanaki kibao wanawakataa Wajita kuwa Mara sio asili yao bali ni UkereweHawa jamaa ni wakabira kinoma lakin nakuomba utunze hii coment lazima washuke daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
RamliWamepigwa mzazi hawa jamaa lazima washuke daraja kama wamepigwa na kibonde kama costa sijui itakuwaje siku wakitana na wababe wakubwa kama mtibwa watapigwa hata magor mia moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha unawaombea kifo sioHawa jamaa ni wakabira kinoma lakin nakuomba utunze hii coment lazima washuke daraja
Sent using Jamii Forums mobile app