Biashara United (Mara) | Special Thread

Halafu nilichokiona hayo makabila mengine wanawadharau sana Wajita sijui tatizo nini,nishakutana na Wakurya na Wazanaki kibao wanawakataa Wajita kuwa Mara sio asili yao bali ni Ukerewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwaga wanawakataa maana wajita wana akili sana na hawana makuu na mtu wala hawana roho za kichawi kama hawa jamaa

Wewe angalia tu huu uz wajita hawajawakosea wala nini lakin wao washaanza kuwasema vibaya

Ujue nimeshangaa sana wanapowasema vibaya Wajita mpaka mmoja akaropoka ile ni Timu ya Wajita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…