Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?


COET Udsm hakuna hicho kitu! Na wala huyo mkemia unayesema alitoweka ulimwenguni hajawahi kusomea hicho kitu COET kwa kuwa hakipo!
Wewe utakuwa ulihadithiwa tu! Huyo labda alikuwa akienda ile Cafteria kupata RB tu!!
 
Mkuu ebu tumilia akili japo kidogo ! Kazi ya refa uwanjani ni nini? .Refa anatoa maamzi/hukumu pale kosa linapokuwa limetendeka na kosa likishatendeka tayari madhara kama yapo yanakuwa yashatendeka..! Au unahishi refa ni mtabili kwamba mchezaji flani atacheza rafu kwahiyo nimuonye mapema..!!?
 
Efm walimuuliza kuhusu kuisaidia biashara akadai hawezi kutoa pesa za mshahara wake tayari keshajiumbua ile ahadi haikuwa yake Bali gsm ila ushabiki wake maandazi kwa biashara unaweza kuiharibu timu badala ya kuisaidia
alitoa majibu ya kipuuzi sana,badala angetumia fursa hiyo kuhamasisha matajiri. CCM ni CCm tu
 
Natumia akili sana kuwaza unavyo lalama wakati refa yupo zingekuwa ni rafu za kuumiza kama msemavyo kungekuwa na Kadi za njano 5+, nyekundu 3+ (kwa maana mchezo ulikuwa na rafu nyingi fanya kuleta takwimu za mchezo huo
 
COET Udsm hakuna hicho kitu! Na wala huyo mkemia unayesema alitoweka ulimwenguni hajawahi kusomea hicho kitu COET kwa kuwa hakipo!
Wewe utakuwa ulihadithiwa tu! Huyo labda alikuwa akienda ile Cafteria kupata RB tu!!
Haka kajamaa kalisoma St .Augustino ,chuo flan hivi hivyo hakaijui COET.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi Biashara United kutolewa kwa ukata.
Simba tulijitahidi kuwawezesha kimataifa hata shukrani hawakutoa.
Walipaswa kutupigia makofi siku ya mechi nao.
Kitendo cha kukamia kutuumizia wachezaji wetu kimewagharimu.
Malipo ni hapa hapa
 
😂😂 Aisee Mkemi wa COET UDMS ujue alikuwa mwanasimba mwenzako ujue
 
TFF imesema inasubiri majibu kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) juu ya ombi la kusogeza mbele mechi ya Biashara United dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya.

Hata hivyo, kumekuwepo taarifa kwamba Al Ahly imepewa alama 3 za mchezo huo kufuatia Biashara United kutofika uwanjani. https://t.co/ZBZ2LZ16Lq
 
Walezi wa team wanajitokea tu team zao zikicheza na Simba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mheshimiwa mkuu wa mkoa, Ali Hapi, kwa nini hakuwasaidia zile milion 15 alizowaahidi wangeifunga simba? Biashara united wangeingia hatua ya pili wangepata milion 600
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…